LATEST POSTS

KUHUSU SISI


Naitwa Theresia Chacha ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Nimesoma uandishi wa habari na pia nina fani ya uangalizi wa Rasilimali Watu. Vilevile nimehudhuria mafunzo ya needle work and tailoring. Aidha, ni mtumishi wa Serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Urambo.

0 comments: