LATEST POSTS

Friday, August 16, 2013

BAADA YA KUCHEZA NA VUMBI KWA MUDA MREFU, HATIMAYE BARABARA YA RAMI YANUKIA URAMBO

Sio siri, wanaurambo vumbi limetuchosha na kutukinai jamani. Ni wakati wetu wa kujidai kwa barabara za lami Urambo Mjini. Very soon, barabara hizi zitabadilika rangi na kuwa black. Kitu cha lami. Kama mnavyoona wenyewe, mchakato wa uwekaji lami kwenye barabara za urambo mjini unaendelea. Tupo juu kama kishada.



 Wataalam wapo bizeee mbaya







 Kazi kwelikweli
 Mnaona mambo wadau.


 Jiwe la msingi wa ujenzi wa  barabara ya lami urambo mjini liliwekwa na kiongozi wa mbio za mwenge Bw. Juma Simai mwaka 2013
 Engineer Lukaga akisoma taarifa ya ujenzi wa barabara ya lami Urambo mjini mbele ya kiongozi wa mbio za mwenge Bw. Juma Simai mwishoni mwa mwezi julai 2013.

Haya ndio maendeleo tunayoyataka wana urambo.

0 comments: