LATEST POSTS

Sunday, March 31, 2013

ZIARA INAENDELEA KATIKA MNADA WA NG'OMBE, MBUZI NA KONDOO ULYANKULU


 Waheshimiwa Madiwani wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango wakiwa katika Mnada wa Ulyankulu. Mambo yalikuwa kama hivi.

 
 Diwani wa Kata ya Songambele Mheshimiwa Elia P.Kafwenda wa kwanza kulia mwenye suti akieleza jambo walipokuwa katika mnada wa Ulyankulu

 
   Waheshimiwa Madiwani wakisiliza jambo kutoka kwa Wakala wa ushuru wa mnada wa Ulyankulu(Hayupo pichani).

Wafanyabiashara wa Ng'ombe wakiwa katika mnada wa Ulyankulu

 

 

 
 Madiwani wa Viti Maalum Mheshimiwa Zainabu Salum na Mheshimiwa Pili Batromeo wakifuatilia maelezo yanayotolewa na Wakala wa kukusanya ushuru katika Mnada wa Ulyankulu

 
 
 

 
 Karani wa kukusanya ushuru akiendelea na kazi yake ya kukusanya ushuru kutoka kwa Wafanyabiashara wa Ng'ombe wanaofika katika mnada huo
 
 
Ng'ombe wakiwa Mnadani Ulyankulu 
 

Ng'ombe hao

 

Mbuzi

 

 
                                                             Woouw!Imenonajeeee!
 
                                                                                Mmmh!
 

 Eneo la Mnada wa Ulyankulu
 

2 comments:

Elias777 said...

Mzee samahani sana, nilikua nataka kujua bei za ngombe na mbuz kwenye hiyo minada. Bei zinakwendaje? Nitashukuru sana kama utanifahamisha.

Ahsante.

Wako Said Ali

Unknown said...

Ngoja niulize kwa wadau nitakupatia majibu bwana mkubwa.