LATEST POSTS

Monday, April 1, 2013

MADIWANI WATUA KWENYE MNADA WA URAMBO


 
 Waheshimiwa Madiwani pamoja na Wataalamu wakiongea na Wakala wa Ushuru wa mnada wa Urambo Bw. Steven Kiluku


 
 Bw. Steven Kiluku (mwenye shati la kijivu) akitoa maelezo kuhusiana na shughuli nzima ya ukusanyaji mapato kwenye mnada huo kwa Madiwani na Wataalam
 
                      Shughuli ya uuzaji na ununuaji wa Ng'ombe,Mbuzi na Kondoo ikiendelea


Mnada umepamba moto
 
 
Machinjio mpya ya kisasa iliyopo katika mnada huo wa Urambo
 

 
                                              Ng'ombe hawa tayari wamekwishanunuliwa

 
 

 

 
 
 
 
 
                                   Afisa Mifugo akiangalia hali ya mnada inavyokwenda

 
Mheshimiwa Alhaj Adam Malunkwi ambae ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mwenye shati la kitenge, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Haruna Kasele mwenye shati la blue na Mwandishi wa vikao wa Halmashauri Bw.Soffu Alloyce mwenye kofia wakikagua machinjio ya kisasa ambayo bado haijaanza kufanya kazi
 
 
Mwonekano wa ndani wa machinjio

 

Imeandaliwa na:
Theresia Chacha.

0 comments: