LATEST POSTS

Saturday, March 30, 2013

WAHESHIMIWA MADIWANI WAKIENDELEA NA ZIARA YAO KATIKA SOKO KUU LA URAMBO NA STENDI YA MABASI YA MUDA YA URAMBO

ZIARA INAENDELEA


 
Waheshimiwa Madiwani pamoja na Wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo wakipata maelezo kutoka kwa Katibu wa soko la Urambo na Wakala wa kukusanya ushuru sokoni hapo kuhusiana na changamoto mbalimbali wanazokutana nazo sokoni hapo wanapokuwa katika utendaji kazi wao wa kila siku.
 

 
 
 
 
Stendi ya mabasi ya muda Wilayani Urambo
 

 
Wajumbe wakisikiliza maelezo kutoka kwa dereva aliyekutwa stendi hapo

 
Wajumbe wakimsikiliza dereva akitoa maelezo kuhusiana na changamoto mbalimbali zilizopo katika stendi hiyo ikiwemo ya baadhi ya mabasi kukataa kutoa ushuru.


 

 
Mchuuzi wa matunda akifanya biashara katika stendi hiyo


 
Wajumbe wakipata maelezo kutoka kwa Wakala wa kukusanya ushuru wa mabasi katika kizuizi kilichowekwa kwa ajili ya mabasi.

 
Wakala akifungua kizuizi ili kuruhusu basi(halimo pichani) kupita.

 

 

 
                          Wajumbe wakimsikiliza Wakala wa kukusanya ushuru kwa makini
 

0 comments: