Waheshimiwa Madiwani wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango Wilayani Urambo wapewa mafunzo ya Utawala bora, Usimamizi wa fedha za Serikali na usimamizi wa mikataba na manunuzi. Mafunzo hayo yalitolewa katika ukumbi wa VETA Tabora kuanzia tarehe 1-3 Agosti,2013.
Wajumbe wakifuatilia semina
Mkufunzi Bw. John Kasitila akitoa mada kwa Wajumbe
Bw. Kasitila akiendeleza mada
Paparazi wa Kujitegemea, Bw. Sumbukeni Malela
0 comments:
Post a Comment