LATEST POSTS

Wednesday, August 7, 2013

MMH! SANAA HII YATAKA MOYO KWELIKWELI


Mkuu wa Mkoa wa Tabora mama Fatuma Mwassa akiwa katika tamasha la  Mtemi Milambo lililofanyika Tabora.

Sanaa ya kucheza na nyoka ndio huwa inaniacha hoi kabisa. Sipati picha Nyoka huyu akiamua kumgeuka huyu baba itakuwaje.



Mmh!We mwana weee! Moyo unao ingawa uso wako unaonyesha dhahiri unaogopa. Ila umejikaza mwaya. Hongera. Mi  hata kwa bunduki sithubutu ng'ooo.

0 comments: