LATEST POSTS

Wednesday, August 7, 2013

MAKABIDHIANO YA MWENGE KATI YA WILAYA YA SIKONGE NA WILAYA YA URAMBO KATIKA KIJIJI CHA IZIMBILI


Mwenzangu pokea Mwenge huu wa Uhuru. Mie nimemaliza zamu yangu
 Mkuu wa Wilaya ya Sikonge akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mhe. Anna Magowa Katika Kijiji cha Izimbili
                                                    Mhe. Anna Magowa akiwa na Mwenge

 Moja ya mradi uliokaguliwa na Mwenge wa Uhuru ni Mradi huu wa Ghala la kuhifadhia mazao la Chama cha Ushirika cha Kipwagi
 Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw. Juma Ally Simai akifungua ghala la Mazao la Kipwagi





                                                  Mwonekano wa Ghala hilo kwa ndani

                                                       Mwenge wa Uhuru katika picha
                   
               Ndg Juma Ally Simai akitoa maoni yake juu ya mradi huo wa ghala baada ya kuukagua




0 comments: