LATEST POSTS

Thursday, October 3, 2013

BIG RESULTS NOW KATIKA MAZINGIRA KAMA HAYA, KAZI BADO IPO


Katika mazingira kama haya, tutapata Wakurugenzi, Wabunge, Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na  Maraisi kweli?










       Na hili nalo ni darasa ati. Mwalimu yupo kazini kama unavyoona



Waliponiona, wote waligeuka kuangalia ninavyowapiga picha. Walifurahi haoo!
 
Hili pia ni darasa.













Mdau unaionaje hali hii? kazi kwenu. Mi nshafanya yangu, na ninyi wadau mfanye yenu. Kila mmoja katika nafasi yake atimize wajibu ili kuwakomboa watoto waliokatika mazingira magumu kama haya.

0 comments: