Ofisa
wa anga, Peter Moore, ambaye pia ni rubani, amesema mchanganyiko wa
hali ya hewa nchi kavu na ile ya bahari unaathiri ndege za uokoaji.
• Waziri wa Mawasiliano Malaysia atangaza picha mpya ya Satellite
• Asema China imetuma meli kuchunguza
• Ni wiki mbili sasa tokea ndege hiyo ipotee
Kipande kikubwa cha chuma kimeonekana kikielea katika bahatri ya Hindi. Picha za Satellite za China zimeona kipande chenye urefu wa futi 72 kiasi cha maili 75 mashariki mwa Australia.
Picha hizo zimechukuliwa siku mbili tu baada ya mamlaka za Australia kuona kitu kinachoelea katika pwani ya bahari ya Hindi.

0 comments:
Post a Comment