![]() |
| Chumba ambacho watoto hao walipokuwa wamelala na kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadhaniwa kuwa ni hitilafu za umeme. |
![]() |
| Majonzi makubwa kuhusiana na kifo cha watoto hao ambao walikuwa wamelala peke yao ndani |
![]() |
| Kamanda wa Polisi wilaya ya Tabora OCD Samwel Mwampashe akizungumza na wananchi wakati wa tukio hilo la kusikitisha lililotokea na kupoteza maisha ya watoto hao. |
![]() |
| Baadhi ya wananchi wakichungulia dirishani wakiangalia namna watoto walivyoteketea kwa moto |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Suleiman Kumchaya alifika eneo la tukio mapema wakati Kikosi cha Zimamoto kikimalizia uzimaji wa moto na kuwatoa watoto hao ambao tayari walikuwa wamekwisha fariki |
![]() |
| Huyu mama na mtoto walisalimika katika tukio hilo la moto ambao walikuwa kwenye vyumba vingine |
![]() |
| Baadhi ya Samani ziliteketea vibaya kwa moto huo. |















0 comments:
Post a Comment