LATEST POSTS

Tuesday, April 15, 2014

Muhidin Gurumo azikwa Kisarawe leo

Mwili wa marehemu ukishushwa kaburini.
Waombolezaji wakiwa kaburini tayari kuupokea mwili wa Gurumo na kuuhifadhi.
Saidi Mabera akitoka kaburini baada ya kumhifadhi kiongozi mwenzake, Gurumo.
Waombolezaji wakifukia kaburi la Gurumo, Masaki Kisarawe.
Mwanamuziki Profesa J akiwa makaburini, Masaki, Kisarawe.
Mwanamuziki Ally Choki akihojiwa baada ya mazishi, hapa makaburini.
 
Mbunge mteule wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete alikuwepo.
Swala ya mwisho makaburini.
Gari lililobeba mwili wa marehemu likifika Masaki Kisarawe.
 
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Fatma Losindilo akihutubia kabla ya mazishi, Masaki, Kisarawe, Pwani.
Wanamuziki wa Msongo Ngoma Music Band.
Waombolezaji wakiangua kilio baada ya msafara wa msiba kuwasili Masaki, Pwani.
..waombolezaji wakilia kwa uchungu.
Mkuu wa wilaya akiwa ameungana na waombolezaji.
Mwandishi wa Global, Issa Mnally, aliyeketi kulia, akipata chakula na waombolezaji msibani.
…waombolezaji.
Mwanamuziki Zahir Ally ‘Zoro’, (mbele mwenye kofia) wakiwa na jeneza lenye mwili wa Gurumo.
Waombolezaji wakiwa wamejipanga kusubiri jeneza lenye mwili wa marehemu ili kwenda kuuhifadhi kaburini.
Waombolezaji wakiwa na jeneza wakielekea makaburini.
Mwanamuziki, Ally Choki, (mwenye kofia) akiwasili Masaki, Kisarawe.

0 comments: