Picha
zinaonesha hali halisi ya jiji la Dar es salaam leo baada ya mvua kubwa
kunyesha tangu jana asubuhi na usiku mzima wa kuamkia leo. Picha chini
kulia ni hali halisi ya eneo korofi la SHOPPERS PLAZA, Msasani Jijini
Dar. Barabara haipitiki kabisa na magari madogo.
LATEST POSTS
Saturday, April 12, 2014
Home »
» Mvua yazidi kuitikisa DAR
0 comments:
Post a Comment