BUNGE wa Biharamulo Mashariki (CCM) na
Waziri wa Ujenzi, Mhe. John Pombe Magufuli ameshinda katika uchaguzi wa
kumpata mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015. Magufuli ameshinda baada ya
kupata jumla ya kura 2104 sawa na 87.1%, Balozi Amina Salum Ali amepata
kura 253 sawa na 10.5% na Dk. Asha-Rose Migiro 59 sawa na 2.4%.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Anne Makinda ndiye aliyepewa jukumu la kutangaza mshindi
aliyepatikana kwa kura za Kikao cha Mkutano Mkuu wa CCM kilichofanyika
kuanzia jana na kuendelea leo asubuhi mkoani Dodoma.
KURA ZILIZOPIGWA: 2422
KURA ZILIZOHARIBIKA: 6
KURA HALALI: 2416
KURA ZILIZOHARIBIKA: 6
KURA HALALI: 2416
0 comments:
Post a Comment