LATEST POSTS

Sunday, August 4, 2013

MATUKIO YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI URAMBO 2013


Wadau nilikua na tatizo la kuingia kwenye account yangu kwa wiki nzima. Lakini nashukuru Mungu mambo yanakwenda vizuri sasa. Hivyo, nawaleeteeni matukio mbalimbali ya mbio za mwenge wa uhuru ukiwa Wilayani Urambo.


     Wataalam wakiwa katika pozi mbalimbali wakati wakiusubiri mwenge wa uhuru kutoka Sikonge






                 Mwenyekiti wa Vijana wa CCM Wilaya ya Urambo Bw. Mkoma akiwa na Skauti









0 comments: