LATEST POSTS

Thursday, September 12, 2013

THANX GOD NIMEFIKA KATIKA HIFADHI YA WANYAMA YA TAIFA YA SERENGETI


Mbuga za Wanyama Tanzania, ya kwanza ni Serengeti,
 Ngorongoro, Manyara na Mikumi ooh! Tanzania Oyee. 

Tulipofika Serengeti, kilichonijia kichwani ni wimbo huo. Wimbo ambao tulikuwa tukiuimba shuleni enzi zileeee! Lakini nilikuwa sijawahi kufika kwenye hifadhi ya Serengeti hadi siku hii ilipofika. Ahsante sana mheshimiwa Kadutu (J.K) kwa kunifikisha Serengeti. Mimi pamoja na wenzangu tumeweza kufanya utalii wa ndani. Asante J.K.
































Ndugu mdau, endelea kusafiri nami katika ziara hii. Mambo bado

0 comments: