Ilitokea huko nigeria, binti aliyekuwa
amelala kwenye reli, nakukanyagwa na treni...Inadaiwa Kisa cha binti
kulala kwenye reli ni mapenzi baada ya kuachwa na boy wake hivyo akaona hakuna
haja ya kuendelea kuishi.
Kwa kweli naomba Mungu aniepushe na maamuzi kama haya. Hivi wanaume wanakuwa wamekwisha wote hapa duniani isipokua kabaki yeye tu hadi nifikie uamuzi wa kujiua tena kwa kifo kibaya kama hiki? I think only God know!!
0 comments:
Post a Comment