LATEST POSTS

Monday, January 20, 2014

LUPITA NYONGO'O APIGWA BUSU NA LEONARDO DICAPRIO KATIKA SHEREHE ZA OSCAR NOMINEES

Lupita Nyongo'o muigizaji kutoka Kenya, alivuta hisia za Leonardo Dicaplio aliyeigiza katika sinema maarufu ya Titanic ambaye alijikuta akisimama katika Red Carpet akamsalimia Lupita na kumpiga kiss kama picha zinavyojionyesha hapo chini.

Tukio hilo lilitokea wakati wa sherehe za Oscar nominee ambapo Lupita alikuwa akipiga picha katika Red Carpet na Dicaplio ambaye alikua akipita, akasimama, akamsalimia Lupita kisha akampiga busu.

Ama kweli Black is beuty. Lupita ameshaini na rangi yake. Yupo natural. Hana mikorogo, makope wala Brazillian Hair lakini yupo vizuri. Inapendeza sana



0 comments: