LATEST POSTS

Sunday, February 16, 2014

Nimeona urembo mwingi wa vipini vya puani lakini huu wa Eryka Badu na Kelis ni kiboko.

Kazi kweli kweli. Kama hiki kipini cha Eryka Badu Mmh!!Maana ni lipini sio kipini tena.



0 comments: