LATEST POSTS

Saturday, February 15, 2014

Meseji za Valentine walizotumiana Barack Obama na Michelle Obama hizi hapa.

Wanaowaombea mabaya limewashuka shuuu!  Jamani, kumbukeni kuwa, ugomvi ni mgeni, huja na kuondoka. Hivi ni nani ambaye hua hagombani na mpenzi wake? Kugombana ni kawaida katika mapenzi


"Hey Barack, I'll always be your valentine! #HappyValentinesDay –mo," 

and Obama tweeting "Here's the truth: @MichelleObama is still the best Valentine."

Hebu wacheki hapa chini. Wako happy wenyewe.

0 comments: