LATEST POSTS

Saturday, January 25, 2014

Watanzania, ukatili huu utaendelea hadi lini? Wahusika Shikamoni.

Kunradhi: Picha inatisha sana.

Naomba radhi kwa kupost picha hii ya kutisha, lakini sina jinsi kwani lazima niipost ili Umma wa Watanzania ujionee jinsi binadamu walivyogeuka kuwa zaidi ya Simba.Tukio hili limetokea kama wiki moja hivi iliyopita Wilayani Bukombe - Geita na lililipotiwa na RFA.

Tukimbilie wapi sisi Yarabbi!Kama kulia tushalia sana. Wanaharakati akina Kiria kutwa wanaloloma kwenye ma TV na Maredio. Tufanye nini sasa?
Kusema ukweli, nilipoiona hii picha, kichwa kimenivimba kwa uchungu.
Maskini, pole mwanamke mwenzangu , kapumzike kwa amani. Ndilo neno pekee ambalo linaweza kulisema.


 Chanzo: Kajunason blog

0 comments: