LATEST POSTS

Friday, February 28, 2014

BASI LAGONGANA NA TRENI MANYONI


                              
Basi la Bunda Express likiwa eneo la ajali Manyoni, Singida.
Basi la Bunda Express likitokea Dodoma-Mwanza, limegongana na treni eneo la Manyoni ambapo inadaiwa watu wanne wamepoteza maisha. Majeruhi tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.

0 comments: