LATEST POSTS

Saturday, February 1, 2014

Na tujivunie Uafrika wetu. Sio siri, Vazi la kitenge linavutia mno

Kama kawa, kazi yangu mie ni kuchimbua tu na kuwapa raha wadau wangu.
Hebu angalia tamasha la kitenge ambalo lilifanyika huko Nairobi Kenya. Binafsi nimevutiwa na ubunifu uliofanyika katika kukirembesha kikenge ndipo nikaona ipo haja ya kukuonyesha nawe mdau wangu. Pata chakula cha macho mdau wangu.

hhh

lamp

wares

bag

hot

tenge

kitenge

black bride

rembo

guys

 k

0 comments: