LATEST POSTS

Saturday, March 8, 2014

Kitu cha migebuka

Watani zangu Waha toka Kigoma mpo? Mwakeye, Ziminsi? Haya hebu cheki kitu hiki hapa chini. Nimewagusa eeh!
Matayarisho ya Migebuka, katika soko la Msufini mkini Kigoma.
Juu kwa juu Kigoma.
Engo nyingine mji wa Kigoma.
Chanzo: Gsengo
 

0 comments: