





Hali si shwari mjini Morogoro leo hii ambapo madereva daladala wamegoma kutoa huduma kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupinga faini kubwa wanazotozwa na mamlaka za usalama barabarani mkoani humo.
NDANI YA BLOG HII, UTAPATA HABARI ZA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOJIRI NDANI YA WILAYA YA URAMBO NA MAENEO MENGINE YA NDANI NA NJE YA TANZANIA LENGO LIKUWA NI KUWAHABARISHA NA KUWAJUZA WANANCHI HABARI HIZO MUHIMU KWAO ILI WAJUE MIPANGO MBALIMBALI INAYOENDELEA KATIKA HALMASHAURI YAO Kwa mawasiliano: Simu Namba: 0784 447574 Email: there_chacha43@yahoo.com
0 comments:
Post a Comment