LATEST POSTS

Monday, April 21, 2014

MSIBA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AMEFARIKI DUNIA


Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a enzi za uhai wake.

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na kisukari.

Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
Amina

0 comments: