LATEST POSTS

Monday, April 14, 2014

MZEE GURUMO KUZIKWA KESHO KWAO KISARAWE, MKOA WA PWANI

Waombolezaji wakiwa msibani.
Ndugu wa marehemu wakiwa katika chumba cha wafiwa.
Mke wa marehemu, Pili Said (katikati) akiwa na nduguze.
Pili Said akiwa na masikitiko.
Mtoto wa marehemu aitwaye Mariam Gurumo.
Mwazani Gurumo, mtoto wa marehemu, akilia kwa uchungu.

MAZIKO  ya mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Gurumo,  aliyefariki Jumapili (jana) majira ya saa 8 mchana yanatarajiwa kufanyika kesho huko kwao Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Kwa mujibu wa maelezo ya mzungumzaji wa familia, Yahaya Mkilalu,  dua itaanza asubuhi saa 2 mpaka saa 4,  baada ya hapo msafara utaanzia nyumbani kwake Mabibo, Makuburi, kuelekea Kisarawe kwa maziko.

0 comments: