LATEST POSTS

Wednesday, May 7, 2014

DOCTOR KITILLA NKUMBO.....AJITAMBULISHAA RASMI KUWA NI MWACHAMA WA ACT........

Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.

==============

JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT)

0 comments: