Habari
za kuaminika toka ndani ya familia ya Flora zinasema kuwa
msanii huyo amekuwa na wakati mgumu wa kumsamehe mumewe
kutokana na tabia zake chafu ambazo zimekuwa zikiutesa moyo
wake na sasa anang'ang'ania kumchukua mwanaye.
"Hivi
karibuni iliripotiwa kuwa wanandoa hao wamepatana lakini ukweli
ni kwamba hakuna kitu kama hicho,mwanamke amepanga chumba chake
hapa Dar es Salaam na kumwachia kila kitu mumewe ambaye sasa
ana haha kumchukua mwanaye ili aishi naye," kilisema chanzo cha
habari.
Lakini
upande wa pili, mume wa msanii huyo hivi karibuni alieleza
kuwa ugomvi baina yao ulianza kutokana na kuchepuka kwa mkewe,
huku akipeleka shutuma kwa mchungaji wa kanisa la ufufuo na
Uzima, Josephat Gwajima ambaye ni maarufu kwa vitu ambavyo ni
tofauti na huduma zake.....
0 comments:
Post a Comment