MBUNGE wa
Tabora mjini (CCM), Ismail Aden Rage (pichani) na wenzake wanne
wamenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lao walilokuwa
wakisafiria kutoka Tabaora kwenda Dodoma eneo la Chigongwe mkoani Dodoma
leo.
Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari walilokuwemo kujaribu kulikwepa lori lililokuwa mbele yao na kupinduka.
Rage alikuwa anaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba vinavyoanza kesho
0 comments:
Post a Comment