LATEST POSTS

Thursday, December 4, 2014

LITAZAME JIMBO LA MBUNGE ALIYESIMAMA KUTETEA WEZI WA ESCROW JINSI LINAVYOKABILIWA NA UMASIKINI WA KUTISHA


MHE  ASUMPTA  MSHANA
 
Miongoni mwa wabunge  wa ccm ambao walichangia mambo  ya    kwenye sakata la ESCROW ni huyu mama wenzake wanachangia kwa uchungu pesa zetu zimeibiwa yeye analeta ushabiki usiyokuwa na maana kwenye ishu za msingi , ni  aibu  san  kwa  mama  kama  huyu  kusimama  na   kutetea  wezi  wakati jimbo  lake  la  NKENGE  linakabiliwa  na  umasikini  wa  kutsha

LAKINI   TAZAMA   HALI  HALISI  YA  JIMBO  LAKE  JINSI  WANANCHII  WAKE  WANAVYOKABILIWA  NA  UMASIKINI  MKUBWA   TENA  WA  KUTISHA  LAKINI  BILA  AIBU  BADO  ANAPATA  KIBURI   CHA  KUSIMAMA  KUWATETEA  MAFISADI








watu  wanaishi  kwenye  nyumba  hizi

HIKI  NI  CHOO


 
 Hivi  kwa   hali  hii  mtu  unapata wapi  uwezo  wa  kusimama  na  kutetea  wezi  wakati  bado   wananchi  wako  wanaishi  kwenye  umasikini??

0 comments: