LATEST POSTS

Friday, June 19, 2015

MWANAMKE RAIA WA TANZANIA AKAMATWA NA KILO 70 ZA MADAWA YA KULEVYA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MUMBAI NCHINI INDIA


Mwanamke raia wa Tanzania aliyejulikana kwa jina la Chambo Fatma Basil, amekamatwa katika uwanja wa ndege wenye harakati nyingi wa Mumbai nchini India akiwa na kilo 74 za dawa za kulevya aina ya methaqualone.
Maafisa wa Uhamiaji na wa Usalama walimkamata mwanamke huyo, Jumatano akiwa na paspoti ya Tanzania akijianda kuja Dar es Salaam kupitia Doha, baada ya kupatiwa taarifa za kiitelijensia.

0 comments: