LATEST POSTS

Tuesday, July 2, 2013

MATUKIO ZAIDI YA SIKU YA SERIKALI ZA MITAA WILAYANI URAMBO KATIKA PICHA


Mdau wa Urambonews, zifuatazo ni picha zaidi za maadhimisho ya siku ya Serikali ya Mitaa ambayo kwa Wilaya ya Urambo ilifanyika katika Kata ya Igagala na Kitaifa ilifanyika mkoani Morogoro.


Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya






Wananchi waliojitokeza kusherehekea siku hii

Waheshimiwa Madiwani

 



Umati wa Watu uliitikia wito kwelikweli

Watu wa usalama wakiwasalimia Wananchi wa Igagala





Mwenyekiti wa UWT Kaliua Mhe. Modester Buyobe akisema neno

 
Mgambo nao hawakuwa nyuma katika kuhakikisha usalama unakuwepo katika eneo la tukio

Bw.Gwatako N.Nyakoki aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi

Mgeni rasmi Mhe. Haruna Kasele akitia saini kitabu cha wageni






Kaimu Mkurugenzi Wilaya (mwenye suti yablue) akisoma risala kwa Mgeni rasmi

 
 
 
 
 

 

0 comments: