LATEST POSTS

Monday, July 1, 2013

NGOMA ZA ASILI NCHINI TANZANIA ZAMSISIMUA PRESIDENT OBAMA.ASHINDWA KUZUIA HISIA ZAKE,AAMUA KUKATA NGOMA. RAIS KIKWETE AMUUNGA MKONO


Vikundi vya ngoma za asili vilivyokuwa vikitumbuiza katika Uwanja wa ndege jijini Dare-es-salam leo, vilionekana kumsisimua Rais Barack Obama kwa kiasi kikubwa kutokana na wasanii wa vikundi hivyo kucheza kwa ustadimkubwa hali iliyopelekea Rais huyo wa Taifa kubwa ulimwenguni( Marekani) kuanza kukata ngoma hali iliyoamsha shamrashamra kwa kila mmoja aliyekuwepo uwanjani hapo. Rais Jakaya Kikwete naye hakubaki nyuma, alimuunga mkono mgeni wake kwa kusakata midundo hiyo pamoja. Ama kwa hakika ilikuwa ni hali ya kufurahisha sana.
 
 
Rais Obama akicheza ngomaza asili alipowasili jijini Dar-es-salaam mapema leo
 
 
Rais Obama na Rais Kikwete wakifurahia ngoma zilizokuwa zikitumbuiza uwanjani leo
 


Picha kwa hisani ya News 24

0 comments: