WASANII WA BONGO MOVIE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
CASSIM TAALIB
MWENYEKITI WA MTANDAO WA WASANII TANZANIA
Kongamano
la wasanii tanzania lafana sana wasanii wengi walijitokeza·Kongamano
limefanyika leo katika hotel ya Lamada iliyopo ilala Dar es
Salaam·Maadhimisho yaliyofikiwa ni ushirikiano wa pamoja katika fulsa
mbalimbali·zinazojitokeza na pia kupewa nyumba zilizopo mkuranga:
MWENYEKITI
MSAIDIZI WA BONGO MOVIE MAHSEN AWADH DR CHENI NA MMILIKI WA MTANDAO
HUU AKIWA NA WASANII WENZAKE KUSHOTO WASTARA JUMA KULIA CATHY
CHID BENZI AKIIMBA KATIKA KONGAMANO HILO
BLOGGER LEWIS MBONDE WA MTANDAO WA LEWIS MBONDE BLOG AKIWA NA BLOGGER NA ARTIST JOSEPHINE JOSEPH JOJOTHEFIGHTER BLOG
MZEE CHILO AKISISITIZA JAMBO KATIKA KONGAMANO HILO
0 comments:
Post a Comment