LATEST POSTS

Wednesday, January 22, 2014

Mhe. Said Ramadhani Mbunge wa Chalinze amefariki dunia

 
Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI)  amefariki dunia!

Chanzo: GPL

0 comments: