LATEST POSTS

Wednesday, January 22, 2014

Toke Makinwa atupia picha zake za harusi mtandaoni.

Ndoa ilifungwa tarehe 15 Januari 2014. Mwenyewe asema kuwa, katika uhusiano kuna magumu mengi, wamepita katika milima na mabonde hadi kufikia hatua hiyo waliyoifikia na mpenzi wake.

Hongereni sana Maharusi. Mwenyezi Mungu awasimamie. 

Kusema ukweli mdada uliipendeza haswaa. Mshono wa gauni mzuri ila mimi hapo kifuani sijapenda. Maana nyonyo zote nje. Mmh! Kazi kwelikweli.

0 comments: