LATEST POSTS

Wednesday, January 22, 2014

Kweli mapenzi noma. Hebu ona kituko alichokifanya huyu jamaa

Jamaa mmoja ampandisha juu ya paa mpenzi wake na kumlazimisha avue nguo zake baada ya wazazi wa binti huyo kukataa asiolewe nae. Mtiti ulikuwa mkubwa kiasi cha polisi kutinga eneo la tukio na kufanikiwa kumtia mikononi mwa polisi.

 Hapa jamaa akiwa amemtaiti mpenzi wake kisawasawa
 

Hapa jamaa akiwa amemvua nguo mpenzi wake na yeye mwenyewe akiwa amevua nguo kama mnavyoona

 
Hapa jamaa akiwa ametaitiwa na polisi
 

0 comments: