LATEST POSTS

Friday, January 24, 2014

Poleni ndugu zetu wa Dumila kwa maafa haya

 Waziri mkuu Mizengo Pinda akitembelea eneo la Dumila ambako daraja limekatika na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano  kati ya Dodoma na Morogoro baada ya mvua nyingi zilizonyesha na kusababisha mafuriko makubwa yaliopelekea maafa makubwa katika wilaya ya Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro.
 
 Maelfu wa wananchi wa Dumila wakimsubiri waziri mkuu  kufutia mafuriko hayo.

 Viongozi wa serikali na chama wakiteta jambo mara baada ya  waziri mkuu kumaliza kuzungumza na wananchi katika    eneo la Magole wilayani Kilosa.
 
 Watoto waliokuwa wakijaribu kuvuka kutoka sehemu moja kwenda nyingine katika eneo la Mvomero.

 Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli akiwa na sekretariliati ya mkoa mara baada ya kuagana na waziri mkuu.

 Moja ya nyumba katika eneo la Mvomero  ikiwa imezingirwa na maji

 Shamba la miwa likiwa limezolewa na kuachwa tupu huku likiwa na mabaki ya maji huko Dumila.

 Mkazi wa eneo la Magole Kilosa akijaribu kuondoa maji yalioingia katika nyumba yake.
 Mtoto akijaribu kuzoa maji yalioingia ndani kwao.

 Wanawake waliokuwa katika eneo la Magole ambao walidai vitu vyote na chakula vimezolewa na maji, na hawajala tangu jana.
 Viongozi wa CCM walipotembelea eneo la Mvomero kujionea mafuriko hayo
 Maroli yanayosafirisha mizigo uelekeo wa Dodoma yakiwa yamekwama kusubiri hatma ya daraja hilo.
 Ni maroli yaliojaza barabara ya Morogoro na Dodoma katika eneo la dakawa hadi Dumila.
 Katibu wa CCM mkoa akizungumza na madiwani katika ofisi za CCM wilaya ya Mvomero waliokuwa katika ziara ya kutembelea eneo la mafuriko Dumila.
Helkopta ya polisi mara baada ya kumfikisha waziri mkuu katika eneo la maafa ya mafuriko Du

0 comments: