LATEST POSTS

Sunday, January 12, 2014

Waumini walikula majani kama walivyoagizwa na mchungaji wao, waugua matumbo

 
Picha mpya zikiwaonyesha waumini baada ya kula majani kama walivyoamrishwa na mchungaji Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries of Afrika Kusini. Mchungaji huyo aliwaeleza waumini wake kwamba, ili wawe karibu na Mungu wanatakiwa wale majani. Aidha, mchungaji Lesego aliwaambia kuwa, kwa kufanya hivyo pia kutaonyesha binadamu anaweza ku survive kwa chochote.
 
Baada ya waumini hao kula majani, mchungaji Lesego alitembea juu ya miili ya waumini hao huku akiwa amevaa viatu. Baadae, wengi wa waumini hao walisikia maumivu makali ya tumbo kama picha zinavyoonyesha chini.



0 comments: