LATEST POSTS

Wednesday, February 26, 2014

Hebu angalia kilichomkuta huyu dada baada ya kukaa na wiving kichwani kwa miezi sita mfululizo

Wadada na Wamama hii inawahusu sana. Acheni kabisa mtindo wa kusuka na kushonea wiving kisha mkakaa nayo kichwani kwa muda mrefu eti mnabana matumizi. Mwoneni mwenzenu kilichomtokea. Sasa inabidi akate nywele zake. Nywele zimeoza. Kiranga komo.
 

0 comments: