LATEST POSTS

Sunday, March 9, 2014

TAZAMA PICHA YA BINADAMU MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI YA WOOTE

 


Misao Okawa ni mwana mama wa kijapan ambaye amezaliwa mnamo March 5th 1898 huko japan na kutoka na kitabu cha Guinness world records mwana mama huyo ameweka record mpya ya kuwa na umri mkubwa kupita woote mwanamama huyo ambaye ana umri wa miaka 116 amesherekea siku yake ya kuzaliwa hapo majuzi tu..




0 comments: