LATEST POSTS

Monday, April 21, 2014

CHANG'A KUOMBEWA DUA NA SALA MAALUM NA WATU WA DINI ZOTE TABORA KESHO

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo Mheshimiwa Moshi Chang'a  kesho waumini wa madhehebu mbalimbali ya kidini wanataraji kumuombea dua maalumu huko katika kata ya Tumbi manispaa ya Tabora kwa madai ya kumbukumbu ya mchango wa Maendeleo ya kata mbalimbali wakati akiwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini.

0 comments: