LATEST POSTS

Sunday, April 13, 2014

Kwa mvua hizi jamani, tutadondoshwa sana tu

 
Dada huyu akipata huduma ya kubebwa kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
...Mbebaji na mbebwa wote ndani ya maji baada ya kudondoka.
Msaada: Mrembo akisaidiwa kutolewa kwenye maji baada ya kudondoka na aliyekuwa amembeba.

0 comments: