LATEST POSTS

Sunday, April 13, 2014

R.I.P MUHIDIN MAALIM GURUMO



Mzee Gurumo akiwa na Msondo Ngoma enzi za uhai wake.
Maalim Gurumo (katikati) akiimba sambamba na Shabani Dede (kulia) na Hassan Moshi ‘TX Junior’ (kushoto) wakati akiwa Msondo Ngoma.
Mkurugenzi wa kampuni ya ASET inayomiliki bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka ‘Iron Lady’ akikabidhi kwa nguli wa muziki wa dansi nchini na aliyekuwa kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidini Maalim Gurumo kitita cha fedha zilizochangishwa wakati wa onyesho maalum la kumchangishia pesa za matibabu lililofanyika katika Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam mwaka 2011.
 
Mzee Muhidin Gurumo (katikati) alipokuwa akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kustaafu rasmi kazi ya muziki katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam mwaka jana. Kulia ni mdau wa muziki Juma Mbizo na Meneja wa Msondo Ngoma, Said Kibiriti (kushoto).
Mzee Muhidin Gurumo akiwa na ufunguo wa gari alilozawadia na Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (kulia

0 comments: