LATEST POSTS

Sunday, June 1, 2014

BREAKING NEWS:MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE.....SHIDA SALUM AFARIKI DUNIA...


shida salumu aliyekuwa mzazi wa mbunge wa kigoma kaskazini muheshimiwa zitto kabwe amefariki mchana huu,shida salum aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya mara kwa mara amefariki leo mchana bwana ametoa na bwana ametwaa innal rajun 



katika hapo juu  akiwa amekaaa marehemu enzi za uhai wake  shida salum, pembeni ni baba mzazi wa zitto kabwe na kule ni dada yake  


hiki ndo kipindi cha alichokuwa amelazwa hospitali na kutembelewa na raisi.  






0 comments: