LATEST POSTS

Tuesday, July 8, 2014

HELLOW WADAU'S, IAM BACK

Ndugu zangu wapenzi wa Urambonews.com. Napenda kuwafahamisha kuwa, sikuweza kuwa hewani kwa kipindi cha mwezi mzima. Hii ilitokana na matatizo ambayo yalikua nje ya uwezo wangu. Habari njema ni kwamba, nimerudi hewani hivyo kaeni mkao wa kula. Mambo mazuri yanakuja kama kawaida yangu. Poleni sana kwa kukosa news katika kipindi chote hicho.

 Chacha T.

CEO

0 comments: