LATEST POSTS

Sunday, June 21, 2015

KUTANA NA MWANAMKE HUYU ALIYEJIGUNDULIA DAWA YA MICHEPUKO


Msichana aliyetajwa kwa jina la Abbie Bartlett, wa Ibiza Hispania, amewashangaza wengi baada ya kumvalisha mpenzi wake Leon Connolly fulana maalum yenye ujumbe unaowaponda wasichana wengine na kumsifia yeye kwa lengo la kujihami na wezi wa penzi lao.Abbie alifanya hivyo baada ya kuona kuwa mpenzi wake
anataka kusafiri na kwamba wangekuwa mbali kwa muda mrefu hivyo alitaka maandishi pekee yawe ujumbe wa kutosha.
Nampenda mpenzi wangu Abbie, nawachukia wasichana wa Ibiza, kwa hiyo tafadhali kaa mbali na mimi.
Yanaeleza maandishi yaliyo kwenye fulana hiyo ikiwa na picha zao

0 comments: