LATEST POSTS

Showing posts with label VITUKO. Show all posts
Showing posts with label VITUKO. Show all posts

Thursday, June 25, 2015

MJAMAICA KUTOA MAHALI YA HEKA 10 ZA BANGI ILI KIJANA WAKE AMUOE MTOTO WA OBAMA.

WANAUME WANAOMTAMANI KUMUOA BINTIYE RAIS OBAMA, MALIA OBAMA WANAZIDI KUONGEZEKA.

BAADA YA FELIX KIPRONOH WA KENYA NA MWENZAKE KUTOKA HUKO HUKO KENYA KUJITOKEZA NA NG’OMBE KADHAA KAMA MAHARI YA KUTAKA KUMUOA MALIA, JANA MZAZI MMOJA KUTOKA JAMAICA AMEJITOKEZA PIA NA MAHARI KWA AJILI YA KUMNASA MALIA OBAMA AWE MKE WA KIJANA WAKE.

MAHARI ILIYOTOLEWA MARA HII KUTOKA JAMAICA, SIO YA KAWAIDA MZAZI HUYO KWA JINA ROY CHAMBERS, AMEISHANGAZA DUNIA KWA KUTOA EKARI 10 ZA BANGI KAMA MAHARI KWA FAMILIA YA WHITE HOUSE KWA AJILI YA KUMPOSA MREMBO MALIA OBAMA KAMA MKE WA KIJANA WAKE.
MALIA OBAMA

“ NILIJARIBU KUMPATA OBAMA AKIWA HAPA JAMAICA WIKI CHACHE ZILIZOPITA LAKINI WALINZI WAKE WALINIZUIA, NIMEMTUMIA BARUA PEPE  NA NADHANI ATANIPA MREJESHO HIVI KARIBUNI”, CHAMBERS AMESEMA KATIKA MTANDAO WAKE.

“ SHAMBA LANGU LINA THAMANI KUBWA SANA KWANGU NA JAMAICA KWA JUMLA LAKINI KWA KUWA KIJANA WANGU ANAMPENDA MALIA OBAMA, NIKO RADHI KULITOA SHAMBA HILO KWA OBAMA ILI KIJANA WAKE AMUOE MREMBO HUYO” AMESEMA CHAMBERS.

Sunday, June 21, 2015

BINTI AJICHANGANYA AMTUMIA BABAKE PICHA ZA UCHI AKIJUA NI MPENZI WAKE



Hili linaita Balaa juu ya Balaa, ni baada ya mwanafunzi huyu kuchanganya namba na kumtumia baba ake Picha za U2pu badala ya Boyfriend wake....

KUTANA NA MWANAMKE HUYU ALIYEJIGUNDULIA DAWA YA MICHEPUKO


Msichana aliyetajwa kwa jina la Abbie Bartlett, wa Ibiza Hispania, amewashangaza wengi baada ya kumvalisha mpenzi wake Leon Connolly fulana maalum yenye ujumbe unaowaponda wasichana wengine na kumsifia yeye kwa lengo la kujihami na wezi wa penzi lao.Abbie alifanya hivyo baada ya kuona kuwa mpenzi wake
anataka kusafiri na kwamba wangekuwa mbali kwa muda mrefu hivyo alitaka maandishi pekee yawe ujumbe wa kutosha.
Nampenda mpenzi wangu Abbie, nawachukia wasichana wa Ibiza, kwa hiyo tafadhali kaa mbali na mimi.
Yanaeleza maandishi yaliyo kwenye fulana hiyo ikiwa na picha zao

Saturday, June 20, 2015

MJAMZITO AJIFUNGUA BAADA YA KUBEBA MIMBA KWA MIAKA 5

An Abuja-based woman, Mrs Adenike Kolawole, (pictured left) who was barren for 27 years, has reportedly given birth to a baby boy after carrying a 5-year pregnancy. Is that even possible

According to PM News, Mrs Adenike gave birth on Sunday October 26th at Evangelical Church of
Cherubim and Seraphim located at Pipeline Road, Mafon area, Ejigbo, Lagos during the church’s Sunday service. Narrating her story to PM news, Mrs Kolawole said she suffered miscarriage in the early period of her marriage and afterwards found it difficult to conceive \

MAAJABU YA DUNIA!! NYOKA WAMFANYIA MTU MASAJI KWA GHARAMA YA DOLA 47

UNAPENDA kufanyiwa masaji na nyoka? Unaweza kukaza roho na usiogope kung’atwa? Kama ndio basi nenda nchini Indonesia utaipata kwa raha zako. 
Masaji hiyo inapatikana Bali Heritage Reflexology and Spa huko Jakarta, Indonesia ambako wanaweza kukuondolea uchovu wako wa siku nzima kwa massage ya nguvu inayofanywa na nyoka mkubwa.


Masaji hiyo inafanyika kwa nyoka huyo kuwekwa juu ya mwili wa mteja na mengine huachiwa yeye nyoka afanya yake. Ili kupata huduma hii mteja hutakiwa kulipa dola 47 ambazo ni zaidi ya shilingi 76,000 za Tanzania

Friday, June 19, 2015

BAADA YA NDOA KUVUNJIKA MUME NA MKE WAGAWANA KILA KITU NUSU KWA NUSU

Ndoa iliisha baada ya miaka 12, mume akaona kila kitu wagawane nusunusu, PICHA NA VIDEO VIKO HAPA

divorce-half-of-everything-12
Ni kama utani hivi.. eti kweli ikitokea ndoa inaisha alafu Mahakama ikaamua kila kitu mgawane nusunusu, hiyo nusu yenyewe ndio inakuwa kwenye mtindo huu??
Der Juli ni jina la Mjerumani mwingine kwenye Headlines baada ya kuingia mtandaoni na kutangaza kwamba anauza hivi vitu ambayo wamegawana nusunusu na mkewe baada ya ndoa kufikia mwishoni.
Cheki pichaz za vitu vyewewe sasa !!
half-a-macbook-pro-der-juli-ebay
Hii ni laptop ya Apple, hapo ndio imeshagawanywa nusu yani!
half-a-mailbox-der-juli-ebay1
Hili ni sanduku la barua, na lenyewe limegawanywa tayari.
half-an-iphone-5-der-juli-ebay1
iPhone nayo haikuachwa.
half-an-opel-corsa-der-juli-ebay1
Gari ndogo ya kutembelea, Opel Corsa nayo iko nusu hapo.
half-a-samsung-tv-der-juli-ebay1
TV ya Samsung nayo iko nusu.
half-a-teddy-bear-der-juli-ebay1
Mdoli nao ulikutwa na huu mkasa wa kugawanywa nusu !!
half-of-four-chairs-der-juli-ebay1
Viti vya kukalia.
Helmet
Helmet ambayo inavaliwa kichwani ukiendesha pikipiki
divorce-half-of-everything-6
enhanced-3911-1434633611-9
Hapa kuna video wakati jamaa yuko busy kabisa anagawanya vitu