Abiria wakiwa wamekumbwa na taharuki baada ya kivuko cha MV Kigamboni kuacha njia leo asubuhi.
Abiria waliokuwa wakisafiri ndani ya Kivuko cha MV Kigamboni jijini
Dar es Salaam mapema leo wamekumbwa na taharuki huku wengine wakijitosa
majini baada ya kivuko hicho kupoteza mwelekeo na kuacha njia majini.
Inadaiwa chanzo cha taharuki hiyo ni kuzidisha abiria pamoja na mizigo kwenye kivuko hicho.
0 comments:
Post a Comment